album cover
Mapozi
album cover
Skladba Mapozi vyšla 6. září 2023 Kassam na albu Mapozi - Single
6. září 2023
ŠtítekKassam
BPM100
Melodičnost
Akustičnost
Valence
Tanečnost
Energie

Hudební video

Hudební video

Texty

[Verse 1]
Nyie kuna watu wazuri, mtazame huyu dada
Mnichimbie kaburi, mwendo wake pumzi yanikaba
Akisema nimpe roho, nimpe moyo kwani shing ngapi
Mnaosema hatuendani hatufanani, wapi na wapi
[Chorus]
Umemuona mbele, je umemtazama nyuma
A welewele watu wanahonga nyumba, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi
[Verse 2]
Alivyonona yani mpaka noma
Kama bucha yani kajaza nyama
[Verse 3]
Huku tende, huku haluwa
Hapa kati ua limechanua
Utamu wake wa embe mixer wa mua
Ningeruhusu uonje (Ila utaharibu)
[Chorus]
Umemuona mbele, je umemtazama nyuma
Ah, welewele watu wanahonga nyumba, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi
[Chorus]
Umemuona mbele, je umemtazama nyuma
Ah, welewele watu wanahonga nyumba
Umemuona mbele, je umemtazama nyuma
Ah, welewele watu wanahonga nyumba, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi, hayayaya
Yake mapozi
Written by: Kassam Rashid
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...