Hudební video
Hudební video
Kredity
PERFORMING ARTISTS
Soloh Msoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Soloh Msoh
Songwriter
Texty
Haha
King
Soloh msoh
Nikweli mvumilivu hula mbivu
Kwako nimekwama wana wivu
Ingawa lugha yangu si sanifuu
Acha leo bebi nikusifu
Umenipenda hivo hivo bila kitu
Ukavumulia yangu madhaifu
Na tena kweli wewe mwaminifuu
Uuuh mmh
Bebiii ulinichanganya nikakuweka moyoni
I will give you love,nitakupenda inavyo faa
Bebiii ulinichanganya nikakuweka moyoni
Forever, together, tuitaneee
Bebi bebi, yes daddy
Hunny Hunny, sugar
I love you, i love youuu×2
Wewe ndiye zawadi langu
Tamanio la moyo wangu
Milele mimi nawe pamoja
Pamojaa..
Najidai dai kukupata lotto nime wahi wahi
Nime wahi wahi kukupata mtoto najidai
Bebiii ulinichanganya nikakuweka moyoni
I will give you love,nitakupenda inavyo faa
Bebiii ulinichanganya nikakuweka moyoni
Forever, together, tuitaneee
Bebi bebi, yes daddy
Hunny Hunny, sugar
I love you, i love youuu×2
Written by: Soloh Msoh