Poslechněte si Formula (Moto Zimelia) [feat. Jay Melody & Bien] od interpreta Joh Makini

Formula (Moto Zimelia) [feat. Jay Melody & Bien]

Joh Makini

Hip-Hop/Rap

15 488 Shazams

Texty

Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula (ehh) Who say siko romantic bad man One call away nakuja sharp man Sharper than Gillette chop ndani Nachukua jiko nikajisevie nyumbani Kihalali so illegal like drug man You sexy killing them like drug money Your hip don't lie like short gun Wallahi I don't lie I'll rob money I talk to you slow tempo no rush My wife to be my baby my crush Sinaga mbili ni one way no bypass Pesa tumia ni my cash This is defininition Yakupenda kupindukia, kufa kuoza Nakupenda kupindukia Mawazo yangu yote nijuu yako unipokee Namacho yangu yote nikwako usinipotee Mawazo yangu yote nijuu yako unipokee Namacho yangu yote nikwako usinipotee Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula Tushuke manta Moto zimelia,moto zimelia Twenzetu manta Moto zimelia,moto zimelia Tushuke manta Moto zimelia,moto zimelia Twenzetu manta Moto zimelia,moto zimelia Oooh life patient, love is kind Kitu spiritual huwa divine Love inaezafanya ucreki Love inaezafanya udedi Wengi wanashindwa kudefine You keep on searching en you go find Harusi sikukata keki (yeeeh yeh) Ndoa haitaki watu wengi Kuna sifa kuu za mwanamke Nakuna sifa kuu yako nawe una ukuu wako Una miguu sijaona mguu kama wako Wana viuno ila sijaona nyonga kama yako Akili kama yako Roho nzuri unawazidi hata marafiki zako Heshima sana kwako Mejengo mingi ila nyumbani nikwako This is defininition Yakupenda kupindukia, kufa kuoza Nakupenda kupindukia Mawazo yangu yote nijuu yako unipokee Namacho yangu yote nikwako usinipotee Mawazo yangu yote nijuu yako unipokee Namacho yangu yote nikwako usinipotee Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula Mapenzi si kulima Vanila Wala kucheza na mpira Mapenzi hayana formula, formula Tushuke manta Moto zimelia,moto zimelia Twenzetu manta Moto zimelia,moto zimelia Tushuke manta Moto zimelia,moto zimelia Twenzetu manta Moto zimelia,moto zimelia (Tushuke mantaaaa)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out