Poslechněte si Kama Wengine (feat. Diamond Platnumz) od interpreta D Voice

Kama Wengine (feat. Diamond Platnumz)

D Voice

Hudební video

D Voice Ft Diamond Platnumz - Kama Wengine (Official Lyric Audio)
Přehrát hudební video {trackName} od interpreta {artistName}

Kredity

PERFORMING ARTISTS
D Voice
D Voice
Performer
JM
JM
Performer
Good
Good
Performer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Performer
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Performer
COMPOSITION & LYRICS
D Voice
D Voice
Composer
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Composer
Abduli Hamisi Mtambo
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
JM
JM
Producer
Good
Good
Producer

Texty

Oyaaa unajifanya aah aah aaah! Aah! unajifanya mtu wa dini mchana Usiku kidimbwi unagombania mabwana Unajifanya haujatumika msichana Sa nimechomeka sa mbona haijabana Oya wee! We malaya tu kama malaya wengine Oyaa wee! We utumbo tu kama utumbo mwengine aaah ah! Aah! Snichi sio mwana, mwana sio snichi Nikiwa nae shemu kumbe nkiondoka sweet Viushauri penzi langu kunipatia Kumbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia Wee snichi tuu kama masnichi wengine Oya wee! We kuwadi tu kama kuwadi wengine inee! Unajifanya upendi waganga unapenda masheikh Kujifanya dogo janja kama ujabalehe Kumbe wewe na mimi wote walewale Tofauti mganga wako wa buza wangu wa tandale Oya wewee we mchawi tu kama wachawi wengine Ololooo oya wewe We ni mwanga tu kama wanga wengine Oyaaa Unaheshimu ramadhani unazini shabani (Toooba) Mchana stara usiku viwanjani Sa mahubiri yako unamuhubiria nani We na mimi woote kesho motoni Oya! Wee shetani tu kama shetani wengine Yani wewe oya wewe We firauni tu ka firauni wengine Asaa nikilewa bwiii! Msiniache mnibebe Nikiwa tungi bwiii! Msiniache mnibebe Eh! Nikivesha bwiii! Msiniache mnibebe Nikipuuliza bwiii! Msiniache mnibebe Haya nibebe nibebe nibebe nibebeee Nibebe nibebe nibebe nibebeee Oya kwenye ofa za bia msiniache mnibebe Mkienda viwanja msiniache mnibebe Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe Wee kwenye vibe msiniache mnibebe Haya nibebe nibebe nibebe nibebee Nibebe nibebe nibebe nibebee Sawa niite chizi mwendawazimu Wewe apo msukule (Kulee) Kama ulikula changu kwa simu jua akiendi bure (Buree) Niite chizi mwendawazimu wewe apo msukule (Kulee) Kama ulikula changu kwa simu basi akiendi bure Hasa muda wakulipa (Lipaa) Muda wakuchojoa (Chojoa) Muda wakulipa (Lipaa) Muda wakuchojoa Dada muda wakulipa (Lipaa) Muda wa kuchojoa (Chojoa) Muda wa kulipa baba (Lipaa) Muda wa kuchojoa Nilipotoka mwenye nyumba kanivurura Kanipandishia kodi ghafla kwa dharura Nilipotoka mwenye nyumba kanivurura Paka nahisi joto kama kusaula Saa na wewe saula sasa mwanangu saula sasa (Saula) Saula sasa nione saula sasa (Saula) Saula sasa wanangu saula sasa (Saula) Saula sasa ivue saula sasa (Saula) Oya wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress Saa nawanywea gongo niwashe moto kudadeki Wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress Saa nawalia kitu niwashe moto kudadeki Niwashe nsiwashe (Washa) Wanangu niuwashe (Washa) Niwashe nsiwashe (Washa) Wahuni niwashe (Washa) Nauliza niuwashe (Washa) Ama nsiwashe (Washa) Machizi boti niwashe (Washa) Ama ni siiii waa...!
Writer(s): Abdul Hamisi Mtambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out