Hudební video
Hudební video
Kredity
PERFORMING ARTISTS
YPrince TZ
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yusuph ally Mohammed
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chibby
Producer
Gachi B
Producer
Texty
Shida mapenzi ahaaa nkipenda napenda sana
mwenzenu nazidi zama mniwahi nakufa nakufa aah
Mniwahi nakufa nakufa aah
Kanipa nini mbona sikinai
Kanifanya nini mbona pekeyake namuwaza haipiti sekunde namuwaza
Mwambie mwambieee
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Amenivuruga akili na akili nampenda namzimia
Sio saasita saambili namfeel ndio mana namsifia
Mama utawauwa ngoja wakutunze wakupe mauwa
Cheza kaa unajishauwa
Kaa unakibinya unakibanua
Kwanza akisimama utakimbia
Akicheza utazimia ooh my dear go,go my dear kwenye bed sio gogo my dear
Kanipa nini mbona sikinai kanifanya nini mbona peke yake
namuwaza haipiti sekunde namuwaza mwambie mwambie
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Uyu mtoto mtoto _ulalalalalelele
Katoto toto _ ulalalalalelele
Written by: Yusuph ally Mohammed