Hudební video
Hudební video
Kredity
PERFORMING ARTISTS
Xouh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Songwriter
Texty
Wewe
Ushanipa sana ila sichoki
Ndo nikujuze
Kama sio we mapenzi sitaki
Mi na we
Tunashare mwili roho na nafsi
Kawatangazie Kuachana tena basi
Unanikosha
Mambo ya kuzimiana taa
Ratatatata
Mchumba ushanipata
Kwani nakataa
We ndo umenizima data
Oooh tunawaumiza roho
Mi sio mzuri sana kivile
Cha ajabu kuna watu mawapa shida
Twachekeana usoni
Moyoni tunaishi kinafki ila barida
Wanatamani nikose
Kulala njaa iwe kawaida
Na waha hata siogopi mikosi
Maana kuna Mungu ananilinda
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Unannipa mapochopocho
Sitaki michepuko
Penzi lako kiboko
Nyonga msokoto tuamshe popo
Unanipa mapochopocho
Sitaki michepuko
Penzi lako kiboko
Nyonga msokoto tuamshe popo
Nakupenda (Eeeeh)
Wanipenda (Eeeeh)
Tunapenda leo zaidi ya jana (Eeee)
Mi sio mzuri sana kivile
Cha ajabu kuna watu mawapa shida
Twachekeana usoni
Moyoni tunaishi kinafki ila barida
Wanatamani nikose
Kulala njaa iwe kawaida
Na waha hata siogopi mikosi
Maana kuna Mungu ananilinda
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Eeeeh Eeeeh
Written by: Ramadhan Daniel