Hudební video
Hudební video
Kredity
PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Composer
Texty
[Verse 1]
Ezekieli akiwa katika Roho, Bwana akamweka chini
Katika bonde, nalo limejaa mifupa
Kamwambia Ezekieli "Je mifupa yaweza kuishi?"
Naye akajibu, "Ee Bwana waijua wewe"
Bwana akamwambia "Tabiri juu ya mifupa hii"
Enyi misupa lisikie neno la Bwana
[Chorus]
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
[Verse 2]
Tabiri kwa upepo na mwili, Roho wa Mungu aiweke dhahiri
Kwa wanadamu waliona nchi kavu, kwa Mungu aliona jeshi moja shupavu
Kuna wengu wetu tunapambana, ng'ang'ana maisha yetu ngumu zaidi ya janga
But hiyo ni tu our current condition, position yetu in Christ, more than victorious
Healthy, wealth thee and righteous
Maandiko imesema si warithi wa mfalme
Hautakufa, utaishi, na kusimulia wema ya Bwana
[Chorus]
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
[Verse 3]
Natabiri juu ya afya yako (Hee), natabiri juu ya kazi yako (Eeh)
Vilvyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Natabiria ndoa yako (Hee), natabiria juu ya watoto wako (Eeh)
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
Hautakufa, utaishi, uyasimulie mema ya Bwana (Eeh)
Vilivyo kufa viwe hai, viwe hai tena
[Verse 4]
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
[Chorus]
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuuu, uwe hai tena
Mifupa mikavu (Eeh), nakutabiria (Aah)
Kwa jina Yesuu, uwe hai tena
[Outro]
Mifupa mikavu, nakutabiria
Mifupa mikavu Afrika, uwe hai tenaa
Mifupa mikavu, nakutabiria
Kwa jina la Yesu Tanzania, uwe hai tenaa
Written by: Christina Shusho