Kredity
PERFORMING ARTISTS
Lomodo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter
Texty
Iyeee
Mmmmmh!!
Nimekubali basi tuishie hapa
Hata mimi kuvimilia nimeshindwa
Nilikupa nafasi umevuka mipaka
Oh! Jamani mimi kuvumilia nimeshindwa
Oh! Mapenzi gani penzi la manyanyaso
Lenye kisirani kutwa kutoana jasho
Hupendeki kwanini yakwa adija kopa mipasho
Safari uliianzisha na umeifikisha mwisho
Aheri ni we peke yangu
Kuliko kuendelea kuumuia
Heri niwe peke yangu
Nitaishi peke yangu
Kuliko kuvumilia penzi bandia
Heri niwe niwe peke yangu
Haiyoyoooo!!
Chorus
Hakuna tena mapenzi
Yamekwisha
Hata yale mazoea mina we
Yamekwisha
Ooh!! Maumivu mawazo
Yamekwisha
Nakukesha kulala tongo macho
Verse 2
Kila nifanyalo mm lina ubaya
Ila lako wewe unaona sawa
Usisahau mupenzi
Kidole kimoja hakivunji chawa
Sawa nimeridhia mupenzi
Tuachane nibaki salama
Mapenzi gani penzi la manyanyaso
Lenye kisirani kutwa kutoana jasho
Hupendeki kwanini yakwa adija kopa mipasho
Safari uliianzisha na umeifikisha mwisho
Aheri ni we peke yangu
Kuliko kuendelea kuumuia
Heri niwe peke yangu
Nitaishi peke yangu
Kuliko kuvumilia penzi bandia
Heri niwe niwe peke yangu
Haiyoyoooo!!
Chorus
Hakuna tena mapenzi
Yamekwisha
Hata yale mazoea mina we
Yamekwisha
Ooh!! Maumivu mawazo
Yamekwisha
Nakukesha kulala tongo macho
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo

