Kredity

PERFORMING ARTISTS
RASHY TALENT
RASHY TALENT
Performer
RASHIDI KHAJI
RASHIDI KHAJI
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
RASHIDI KHAJI
RASHIDI KHAJI
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
MUSA MUSHIZO
MUSA MUSHIZO
Producer

Texty

intro
We weee Weeee Mushizo utawauwa
Chorus
Punguza mdomooo ukitaka kuolewa punguza mdomooo
Shoga angu tatizo mdomo
Ukiona Uolewi punguza mdomooo
Verse 1
We chakwanza ujaulizwa unajibu ujaitwa unaitika
Mwanamke gani una bass
Kushinda spika
Cheki ulivyokonda miguu
 kama mkono nyoooo!!!
Kuolewa uwolewi kazi
Kuendekeza ngono
Chorus
Punguza mdomooo ukitaka kuolewa punguza mdomooo
Shoga angu tatizo mdomo
Ukiona. Uolewi punguza mdomooo
Verse 1
Sawa mi mshamba wa mapenzi
Ila sijafikia ukoo
Ninywe sumu nijiuwe si ntaonekana kituko
Ndio mshamba wa mapenzi lakini. Sijafikia uko ninywe sumu nijiuwe si ntaonekana kituko
Nikiachwa nalia mala ya Kwanza
Nalia mala ya pili
Mara ya tatu kwetu sijauwa said vipi niku ng'ang'anie x2
Oya juma juma juma. Nakuita mara tatu acha tamaa juma shauri yako
Chorus
Punguza mdomooo ukitaka kuolewa punguza mdomooo
Shoga angu tatizo mdomo
Ukiona. Uolewi punguza mdomooo
We chakwanza ujaulizwa unajibu ujaitwa unaitika
Mwanamke gani una bass
Kushinda spika
Cheki ulivyokonda miguu
 kama mkono nyoooo!!!
Kuolewa uwolewi kazi
Kuendekeza ngono
Punguza mdomooo ukitaka kuolewa punguza mdomooo
Shoga angu tatizo mdomo
Ukiona. Uolewi punguza mdomooo
Sawa mi mshamba wa mapenzi
Ila sijafikia ukoo
Ninywe sumu nijiuwe si ntaonekana kituko
Ndio mshamba wa mapenzi lakini. Sijafikia uko ninywe sumu nijiuwe si ntaonekana kituko
Nikiachwa nalia mala ya Kwanza
Nalia mala ya pili
Mara ya tatu kwetu sijauwa said vipi niku ng'ang'anie
Mara ya tatu kwetu sijauwa said vipi niku ng'ang'anie
Oya juma juma juma. Nakuita mala tatu acha tamaa juma shauli yako uyo mke wa mtu juma utakuja kupelekewa Motoo
We chakwanza avipiti kwenye njia wew unavidandia alafu unajitongozesha na namba unachukuwa weee!!!
Koma malayakwanza
Koma malayapili
Koma. Malayatatu
Utarogwa uyo mke wa mtu
Weee Koma malayakwanza
Koma malayapili
Koma. Mara yatatu
Utarogwa uyo mume wa mtu
 
Teremka shika mabega
(Shuka shuka)
Telemka shika kiunoo
(Shuka shuka)
Telemka shika magoti
Shuka shuka
Shuka shuka
Written by: RASHIDI KHAJI
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...