Kredity

PERFORMING ARTISTS
Maddoh
Maddoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Abdalla MSIKU
Abdul Abdalla MSIKU
Lyrics
Arnaud Paparone
Arnaud Paparone
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Stepperz
Stepperz
Producer

Texty

Ni nani anaweza kuruka anaweza
Nani ana weza kucheza ana weza
Nani ana weza kuruka ana weza
Nana ana weza kucheza ana weza
Who’s your champion
Who’s your Bebe yo
Tupige sound kama reggae onyesha ukalio Kaza natio kipaji malio
Pere mende imekolea onyesha statio
Ahaaaaaa aaaa ahaaaaa
Oya zimama moto ye He
Usije pimama moto le He
Kama kimamama hema
he Oma yee saba yeeh
Oya zimama moto ye He Usije pimama oy we
He Moto zima mama oye He Oya we oya we zima le
Ni nani anaweza kuruka anaweza
Ni nani. Champion
Nani ana weza kucheza ana weza
Oyieee Champion
Nani ana weza kuruka ana weza
Ni nani ayi ayi
Nana ana weza kucheza ana
Show me shaku shaku dance
Uwezo unao asa tuoneshe kipaji
Ulicho nacho kwenye maisha mtaji
Usipime mzani kama unatumia WIFI
WiFi toa show uwa show upate key
Original talented bila ya sivi
Melody style ka hii
Stepperz on the beat kapiga hiiiii
Ni nani anaweza kuruka anaweza
Ni nani. Champion
Nani ana weza kucheza ana weza
Oyieee Champion
Nani ana weza kuruka ana weza
Ni nani ayi ayi
Nana ana weza kucheza ana
Written by: Abdul Abdalla MSIKU, Arnaud Paparone
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...