Hudební video
Hudební video
Kredity
PERFORMING ARTISTS
D Voice
Performer
Abduli Hamisi Mtambo
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Abduli Hamisi Mtambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Producer
Texty
[Verse 1]
Mwambie nishatukana mambo
Na hamtaninyovuka
Tena niko salama
Sijadhurikana
[Verse 2]
Nishafuta na namba
Na wala sijamkumbuka ah ah
Yani niko salama
Nalishwa na lion
[PreChorus]
Nimempatia tonge busu
Sio tonge ngumi
Nadekezwa
Ah ah
[PreChorus]
Sio tena nusu-nusu
Ubaki leo kumi
Mwenzenu nadekezwa
Ah ah
[Chorus]
Ex (Mbwa)
Na mashoga zako (Mbwa tu)
Ex (Mbwa)
Na ndugu zako (Mbwa tu)
[Chorus]
Ex (Mbwa)
Na marafiki zako (Mbwa tu)
Ex (Mbwa)
Na ndugu zako (Mbwa tu)
[Verse 3]
Kwa uzuri gani mpaka
Nikulilie
Eti utanikumbuka kwani we baba
Taifa
[Verse 4]
Labda ndio nimedata
Ndo nikurudie eeh eh
Sina ata cha kujuta
Ndo nikupe taifa
[Verse 5]
Kuku, wali, nazi
Mpaka chai nazi
Sio wewe ye komando kipenzi
Madonga mtupazi
[Verse 6]
Kuku, wali, nazi
Mpaka chai nazi
Sio wewe ye komando kipenzi
Madonga mtupazi
[PreChorus]
Nimempatia tonge busu
Sio tonge ngumi
Nadekezwa
Ah ah
[PreChorus]
Sio tena nusu-nusu
Ubaki leo kumi
Mwenzenu nadekezwa
Ah ah
[Chorus]
Ex (Mbwa)
Na mashoga zako (Mbwa tu)
Ex (Mbwa)
Na ndugu zako (Mbwa tu)
[Chorus]
Ex (Mbwa)
Na marafiki zako (Mbwa tu)
Ex (Mbwa)
Na ndugu zako (Mbwa tu)
Written by: Abduli Hamisi Mtambo


