Hudební video

Hudební video

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Bwanangoma
Bwanangoma
Background Vocals
Helen Alukumu
Helen Alukumu
Background Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Paul Khafumi
Paul Khafumi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Ulopa Ngoma
Ulopa Ngoma
Producer

Texty

(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima,daima oh
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima, tukisifu wewe Bwana, oh
Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima,daima oh
Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima, tukisifu wewe Bwana)
Bwana wa Mabwana,
Nyasaye nditsominya,nditsominya, nditsominya mu wee,
(Nditsominya mu wee)
Nditsominya mu wee.
(Nditsominya mu wewe)
Mungu wa Miungu, my Father i glorify, i glorify, Lord i glorify your name
(I glorify your name)
I glorify your name, glorify
(And i will celebrate, and sing unto the Lord, a new song, a new song, a new song, a new song)
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima,daima oh
Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,daima,)
Dai daima,
(tukisifu wewe Bwana,)
Njoni twende tumuabudu ye Bwana, Lord
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,)
Vikusifu wewe Bwana
(daima)
Yeah, Daima
(daima oh)
Oh daima
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana,)
Vikusifu we, vikusifu we
(daima)
Daima
(tukisifu wewe Bwana)
Kama ni baraka, (umenipa umenipa)
Kama ni mapenzi(umenipa umenipa)
Ongoza njia nikufwate fwate, ongoza njia nikufwate fwate
Kama ni baraka, (umenipa umenipa)
Kama ni mapenzi(umenipa umenipa)
Ongoza njia nikufwate fwate, ongoza njia nikufwate fwate
(And i will celebrate, and sing unto the Lord, a new song, a new song, a new song, a new song)
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana)
Kusifu wewe Bwana
(daima)
Oh daima
(daima oh)
Daima daima
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana)
Viumbe vyote vikusifu,vikusifu we
(daima)
Daima
(tukisifu wewe Bwana)
Njoni twende tumuabudu ye Bwana, Lord
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana)
Vikusifu wewe Bwana
(daima)
Daima
(daima oh)
Daima
(Wacha basi viumbe vyote vikuabudu na kusifu wewe Bwana)
Vikusifu we, vikusifu we
(daima)
Daima
(tukisifu wewe Bwana)
Written by: Paul Khafumi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...