Hudební video

Heri Siku Moja - Reuben Kigame and Sifa Voices (DVD title: Worship At the Tent)
Přehrát hudební video {trackName} od interpreta {artistName}

Nabízeno v

Kredity

PERFORMING ARTISTS
Reuben Kigame
Reuben Kigame
Performer
Sifa Voices
Sifa Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Reuben Kigame
Reuben Kigame
Songwriter
Sifa Voices
Sifa Voices
Songwriter

Texty

(Ewe Mungu wa majeshi) ewe Mungu wa majeshi (Napenda kukaa nawé) ni napenda kukaa nawé Maskani ('skani) zako zapendeza (Na zi kondea) na zi kondea kwa shauku kubwa (Heri) heri siku moja (Mbélé zako) mbélé zako (Kuliko) kuliko siku elfu mbali na wéwé Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu; n'takupenda daima Moyo na mwili wangu (moyo na mwili wangu Bwana) (Viakulilia) viakulilia Mungu wangu Heri (heri) nikose vioté Baba Lakini nikupate wéwé (nipate wéwé) Heri siku moja (siku moja) Mbélé zako (kuliko) Kuliko siku elfu mbali na wéwé (ewe Bwana) Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima M'chezeye Bwana, Team Alléluia Asante Bwana Heri siku moja (siku moja) Mbélé zako (Bwana mangu) Kuliko siku elfu (siku elfue yingine) mbali na wéwé Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima
Writer(s): Reuben Kigame Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out