Songtexte

Wasafi! Halloooo hmmm Aah, kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchoka Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usoka Washinda vibarazani ya wenzako kuropokaaa Kwa kuwa umemuona fulani ona usoo ulivyokukoboka Sio mwisho vibaoni adi kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Ivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuzi si tomorrow Sio mwisho vibaoni kwenye vigodoroo Usio na haya usoni kote wazua migogoro Hivi wewe haujioni kuwa unakasoro Uso mchana jioni si wajuz si aaaah! Nasema naweee (nasema nawee) Nasema naweee (nasema naweee) Nasema naweee Uso haya nasema nawe Umezoea (nasema nawe) Chezea chezea (nasema nawe) Aaah!! Umezidi (nasema nawe) Zidi (nasema nawe) Zidi (nimechoka nasema naweee) Mmmmmhhh, mmmh Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaa Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataa Usio hiana fedhuri uongo umekuja Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa Tena jokali la nguvu makarata Lile hodari maguvu si kwasakwasa Ooohh!!! Mwenzako mimi turufu si garasa Mwenye nyota ya umaarufu sio hozakosa Aaahhh!! Nasema naweee (mbona wewe Nasema naweee (nawe nawe oh) Nasema naweee Uso haya nasema naweee Nasema naweee Nasema naweee (naweee) Nasema naweee (ah-aaah) Nimechoka nasema nawee Umezoea (nasema naweee) Chezea chezea (nasema nawee) Aaah!! Umezidi (nasema naweee) Zidi (nasema naweeee) Uso haya nasema naweee (ooohhh, nasema naweee) Nasema nawee Nasema nawee (nawew oh) Nasema nawee Nimechoka nasema nawee Wewe, umejifunza ngumi unataka upigane na Tyson haa! (Ale, kata, a-ha kata) (Kati kasi kata) Oh, n'teteme n'teteme (kata) Wenye kusema waseme (kata) (Ale kata, a-ha kata) (Kati kasi kata) Kiuno chako mwenyewe (kata) Mola amekupa wewe (kata) Tena jangiri kilani (kata) Nipe vya bara na pwani (kata) Vile vya nje na ndani (kata) Tumkomeshe fulani (kata) Tena jangiri kilani (kata) Nipe vya bara na pwani (kata) Vya nje na ndani (kata) Akome fulani mmmh Tomasi! Nasema naweee (mbona wewe) Nasema naweee (nawe nawe oh) Nasema naweee Uso haya nasema naweee Nasema naweee Nasema naweee (naweee) Nasema naweee (ah-aaah) Nimechoka nasema nawee Umezoea (nasema naweee) Chezea chezea (nasema nawee) Aaah!! Umezidi (nasema naweee) Zidi (nasema naweeee) Uso haya nasema naweee (ooohhh, nasema naweee) Nasema nawee Nasema nawee (nawew oh) Nasema nawee Nimechoka nasema nawee (Katika-si kata) (Katika-si kata) (Katika-si kata) (Katika-si kata)
Writer(s): Diamond Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out