album cover
Zima Mataa
19
R&B/Soul
Zima Mataa wurde am 1. März 2016 von Independent als Teil des Albums MAHABA: Swahili Love Story, Vol. 1 veröffentlicht
album cover
Veröffentlichungsdatum1. März 2016
LabelIndependent
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie
BPM68

Songtexte

[Chorus]
Zima mataa
Zima mataa alright alright
Si mzime mataa
Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
Zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaa
Zima mataa (Alright yeah)
Zima mataa (Si muzime mataa)
[Verse 1]
Naomba twende taratibu
Baby mi nitakutibu
Kila swali mi nitalijibu baby
Napenda hio tamba yako
Sambamba na pamba zako
Sasa nipe mkono wako
[Verse 2]
Njoo karibu nami, oohh
Hakika uturi wako
Unanivuta mimi kwako
Nimekungojea wewe
Njoo mpenzi twende kwangu
[Chorus]
Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
Zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaa
Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
Zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaa
[Verse 3]
Njoo karibu nami
Na wala usiogope honey
Usiwajali honey
Naomba nikutibu baby
Puuza yote around you ila me
Naomba nikupe mapenzi baby
Mi nawe bila stress (Mahabaa)
Kuja nikuchapie baby
Wajinga nishawapa ilani
Tulia nikupe imani baby
Na umasikini halitadumu
Nikupe matam mtaanee
[Chorus]
Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
Zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaa
Zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
Zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaa
Zima mataa, zima mataa
Washa mshumaa
Zima mataa
Wacha kuduwaa
Zima mataa
Zima mataa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...