Songtexte

Parapanda ya bwana ikaribu Parapanda karibu kusikika Wazima wote wote watasikia, na waliokufa wote wafufuke walomsubiri watafikwa taji zinazongaa bali waovu waakimbia uso wake Eeeh yesu, tutamuona mfalme wetu yesu akirudi Tena tutafurahi tupumzike wote tuloshinda nao malaika wapige Panda nyingi za ushindi na tutaruka mawinguni tumlaki mfalme wetu Watakaokuwa ni washindi watafurahia ajabu na majina yao yataitwa naye yesu mwokozi wao wataruka kwa furaha angani wakiongozwa naye yesu, nyimbo tamu zitasikika angani ndugu yangu usikose pale Utakuwa wapi siku hiyo ndugu? Utakuwa wapi siku hiyo?? Mwokozi yesu atakapoyaita majina ya aliowakomboa walioyafua Katika damu ya yesu wakavumilia hadi kufika mwisho Eeeh yesu tutamuona mfalme wetu yesu akirudi tena, tutafurahi tupumzike wote tuloshinda Nao malaika wapige panda nyingi za ushindi na tutaruka mawinguni tumlaki mfalme wetu eeeeh yesu tutamuona mfalme wetu yesu akirudi Rena Tutafurahi tupumzike wote tuloshinda Nao malaika wapige Panda nyingi za ushindi Na tutaruka mawinguni tamlaki mfalme wetu
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out