Songtexte

Natamani kufika kwenye ile nchi nzuri Tuloahidiwa naye mungu wetu . imejaa mazuri zaidi ya tuyaonayo watakao ingia ni wale walioshinda. jua wala mwezi haitaangaza yesu ndiye ataangaza milele tutakaa naye muumbaji wetu tumuone mfalme tuzungumze naye
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out