Songtexte

Navyojua kuteleza wa sio kuanguka Nawe mwanadamu hujatimia utakosaje kuyumba Wanajua umeniweza kwako siwezi furukuta Sikutamani hii furaha wanione sikonayo Ndomana na mie sizifuati zayo nyayo Najivika ushujaa najivua jaka la roho Mana upweke na mie hatuwezani Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niumizaga (mmh) Siunajua kwanza moja kipengele sana tu Mboga libwata ugali mbele shida kuzoea Mpaka aje kujua mi napendelea tembele ndo akanichumie Sio leo sio kesho shida kuzoea Mapenzi matamu amani ikiangazia na hasira kuvumilia Japo ulimwaga damu na nikaugulia bado majeraha uje uniuguze Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niumizaga (mmh) Moyo unakataa eti mi nawe tusiwe Tusikubali penzi liwake taa lituzimikie Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua Yale yalio niumizaga (mmh) Basi usiridie utaniumiza Yanichizi
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out