Musikvideo

Kama Utanipenda (feat. Rich Mavoko)
Schau dir das Musikvideo zu {trackName} von {artistName} an

Credits

PERFORMING ARTISTS
Darassa
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Darassa
Darassa
Songwriter

Songtexte

Mrembo njoo tujenge malengo Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo Unaonekana kama mji wenye Upendo Unafanana na mtu alochoshwa na mwendo Si nikupe namba yangu unipigie weekend? (weekend, weekend baby) Moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi Vile anavyohema sio kama mtu hapendi Anauelewa mziki anahofia kuucheza Anasema na lugha chafu, ameshakuwa Kifimbo Cheza! Sema nini na Marlaw nabembeleza Kwa sera za Suma Lee nakula chungwa mpaka chenza Ehee, shida kujiuguza Mama you hot na uko ndani unaniunguza Staki kujua, hata nikijua ntapuuza Ukitaka kula bata uache kumchunguza Aah! Kama utanipenda Sitojali shida ulizobeba Na kama unataka kucheza Katafute refa wa kukubeba Na kama utanipenda Sitojali shida ulizobeba Na kama unataka kucheza Katafute refa wa kukubeba You know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh (Eeh whatchu want?) Nipe uchizi nidate Hata nkilala kwenye usingizi nifate (The way you talk mama) You know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh, baby (Eeh whatchu want?) Nipe uchizi nidate Hata nkilala kwenye usingizi nifate Hakuna single wala movie, mama kwangu you're my star Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa Nahangaisha paa, breki ziko Dar Jitazame kwenye kioo how beautiful you are Mapenzi ukichaa, mapenzi uchizi Uwe nacho ukikataa, mwingine inamnyima usingizi Mwingine atakesha, mwingine atatesa Mwingine atataka akutumie kama pesa Yanajuana madini yakikutana Mwanamke ntanyima tuzo na ndo kitu nachofanya We utasema mi kichaa Kumbe mwenzako nafata what I feel inside Aah! Kama utanipenda Sitojali shida ulizobeba Na kama unataka kucheza Katafute refa wa kukubeba Na kama utanipenda Sitojali shida ulizobeba Na kama unataka kucheza Katafute refa wa kukubeba You know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh (Eeh whatchu want?) Nipe uchizi nidate Hata nkilala kwenye usingizi nifate (The way you talk mama) You know I like you Mi nakupenda and I give you what you want eh, baby (Eeh whatchu want?) Nipe uchizi nidate Hata nkilala kwenye usingizi nifate (Unataka nini mama?) Usiniumizi moyo (waweza kupaa) Mi niko loyal (uendeshe motor car) Punguza uchoyo (nguo za kuvaa) You're my everything for me (Na ukiwa out, oh whatchu want?) (Waweza kupaa) baby (Uendeshe motor car) (Nguo za kuvaa) (Na ukiwa out, oh whatchu want?) You're my everything for me You're my only one
Writer(s): Darassa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out