Songtexte

Mzee Mbuzi wewee! Hii game ni yako Hizo ndiyo kauli za mitaani Haufiki sehemu bila ku-Hustle Hivyo walinishauri nipambane Naulinisakanye Maisha ni safari nijihami Ball so hard maths Huna nafahamu Yes, kipindi ya mchonga Niliishi fresh kabla ya ruksa Mshua hakuwa na stress Aliwaza cash usiku kucha Ghafla akawa haonekani nyumbani Shida zikatupa fursa Ikawa msafi anazamani Basi mchafu naye ana future I remember Enzi zile uso wa mbuzi ndiyo unapendwa Silipi nauli kwa mikwara Na uki-move nakutenda Kwenye daladala Konda fala asije nitenda Mi ni staff ka nyapara Huko bara nisha-surrender Nilichotaka nifike studio Ni-record muweze nipata Kama busta au kuriyoo Sikuwa na pozi za kirapa Nilikuwa gangsta sijui yooo Nikawa conscious mtu wa culture Rasta ambaye haangui ng'oo Niliyoanza nao Ni kama hawataki huu mchezo Eti unahitaji zaidi ya bahati Yaani kismati na uwezo Haufuati vigezo Unapoamua Huchuja hadi wanaojua Nakuchuja wanaozingua Ukiuchunguza utagundua Mzee mbuzi weee! (Wee! Wee!) Wewe, wewe (Wewe Wewee) Mzee mbuzi weewe (uuh uuh) Wewe wewe wewe (wewee) Ni wazi haikuwa rahisi But you made it Mzee mbuzi wewee eeh Wewe wewe, wewe wewee Ukishajua nini unataka Nini chahitajika ili ukipate Kamilisha mahitaji kisha kifuate Sikuwa humble mbele ya mjeuri Pale mnafiki akizingua Kivuli cha unyasi Hakimzuii mtu jua Mi na-hustle ile ki heavy weight Skendo haziwezi mnyea Fid So fragile and delicate Handle with care, care Bado sijafeli eti Mjengo unaniteta street (Kama Makaveli nikifanya kweli zinaenea hit) Kinachowaponza watoto wa mjini Ni tamaa na mikumbo Macho huonja kabla ya ulimi Na wana njaa zaidi ya tumbo Kataa kuwa kaa Kataa kukaa kaa Bila chapaa Kitaa hautong'aa papa Ninavyotembea ni kama hero Wa kuitwa Che Guevara Navyozisaka hata nikipata zero Inakuwa sio ya duara Hai-make sense Kama haileti dollar Mwache waiter a-keep change Kama waitress fala Yote haya yalikua ni utoto juu ujana Yalianza na maamuzi ya utoto kuukana Yakafuata makamuzi ikawa moto juu sana Tukawaacha wenye makuzi bila soko wakitukana Wana hate 'cause Siwezi afford kufanya mistake Wanacho otea hawa matozi, Of course Kinaonekana cliché Muda niliusoma kwa jua Kabla ya Jaco kuyajua Saa hii kila ngoma wanaipakua Inaipa macho Medulla Mzee mbuzi weee (Wee! Wee!) Wewe Wewe (wewe wewee) Mzee mbuzi weewe eeh Wewe wewe, wewe wewee Ni wazi haikuwa rahisi But you made it (haikuwa rahisi) Mzee mbuzi wewe (mzee mbuzi wewe) Wewe wewe, wewe wewee
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out