Songtexte

VDj Jones, Si unajua ni genje ni mbwaya Mavo on the Beat... Ati, ni hatari Vile anazitoka odinary Ni hatari Mi najua hatari ati Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna ati Ukiskia Juacali, we jua kunachuna Ukiskia beat ya Mavo jua inachuna Bado meno iko vunja mfupa Bado tembo ziko vunja chupa Haribu mtu wangu we mezesha Usiku changa we serereka Shisha iko changanya ketepa Round ya pili inakuja we pewa Kunja mtu gizani kisawasawa Mkumbushe hii chuma ni ya pawa Na kwa wale wanasumbua kwa sana Lazima wajue hii kutu inachuna Ah inachuma, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, twende sana inachuna Ati, inachuma, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, twende sana inachuna ati Inachuna jaba natafuna Inachuna naskia kujikuna Inachuna, inagonga Nawaroga nikibonga Peng ting nakatia Peng ting napitia Zimeshika mi nadai tu mabeer Zikishika chora saba nadandia Huku ukitembea na nare ni ka kipande Afande sina kipande niko na Omo Mgenjiko toa kwa zabe ni ka ni somo Mkwela kama ni kware sindai ngono Mbasu wa heavy ju ndani walevi Mapeddy mathegi na bado mavedi Namedi na hedi na kando makeki Nakata makeki ni ka ni bash tei la Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna ati Inachuna Nilipanda veve shash ndo nilivuna Still na kakiwashwa na kikikuna Na kako chonjo konjo Conjestina Yeah yeah yeah yeah noma sana Umejaza uzigo, so rewind mitindo Fisi kwa miwindo, nyapia mipindo Ila City naikuna, sio kizalendo Na kakuta nakabless, ila si kufyeko Romance nakapigia nyambizizi Mapenzi juu nimetokea uswazizi Sweet kama kameshikiaga eazy Nakapekenya kanacheka kwikwikwi Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna ati Mi hukata kuchapa ni kama randa Ukinipa ni rubber na kukumanga Daily mangata mafans venye nawamada Ni kama airtime venye mimi nawabamba Nakupa shot sita bora we uchore saba Kwa kiti, kwa meza hadi kwa kitanda Mi si worker but nitakulima kama shamba Kama Passa passa Iano nicheze na hiyo diaba Inachuna, ni Vuva Vuva Niko bumper ukikwama nasukuma Mi najituma hakuna dumba Nitakula kubwa mi ka Olunga Mbogi mbaya tukipull-up mnatii Si kwa charts si ndo 1, 2, 3 Tunawapiga piga buti kama Booker T Si ndo huchafua vida hadi mp3 Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna Inachuna, tena sana inachuna ati Mihadare jo ako jaba Niko giso niko murambe Lazima itubambe we wa shada ama ngale Pass hiyo pass sisi mapapa si mafathe Gwas ni ya warasta na rizna jo ni za warasta Mambota piga snapchat, tin piga pass Chota mzinga bila glass Tutazima tu kwa class Kwenye suti ni matrust Kwenye pori ni ki Trust Nikibleki niraukie hosi Jo nisuke nurse VDJ Jones bila pause Kila mtu on toes Si unajua ni genje Genje ni mbaya Kwa ground vitu ni fire Itabaki unagwayaa Hahahaha the Superstar DJ
Writer(s): Jones Achido Onyango Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out