Songtexte

Hakunaga jipya chini ya Jua-aah Usilolitambua na kulijua-aah Hata vya sirini wavijua-aah Vilivyo ndani ya vilindi vya moyo Unavijua Siwezi kuficha chochote Maana moyo wangu kwako Umejifunua Siwezi kuongopa lolote Kwa maana moyo wangu Umejifunua-aah Kwangu nina sababu (oh-oh-ooh) Kukubali ni Mungu (kubali kubali ni Mungu) Kwangu nina sababu (oh-oh-ooh) Kukubali ni Mungu ooh-oh (Yeah hee hee) Wewe ni Mungu (Oh wewe ni Mungu, wewe ni Mungu) Muumba nchi na mbingu (Hakuna kama wewe Bwana wangu) Wewe ni Mungu (Wewe ni Mungu) Muumba nchi na mbingu Hmmm, oh-ooh Kwa moyo wangu Wote nimekutafuta Usiniache nipotee Mbali na maagizo yako Moyoni mwangu Nimeliweka neno lako Nisije nikakutenda Dhambi Mungu Nafsi yangu (yangu) Imeambatana na mavumbi Unihuishe Sawasawa na neno lako Nafsi yangu Imeambatana na mavumbi eh Unihuishe Sawasawa na neno lako Maana wewe ni Mungu Wewe ni Mungu (Hakika, unastahili sifa) Muumba nchi na mbingu (Wewe ni baba hey yeah) Wewe ni Mungu (Unaetenda maajabu) Muumba nchi na mbingu (oh yeah eh yeah) Sita aibika (aibita sita aibika) Sita tetereka Sita pungukiwa Sita kuacha we Hmm sita aibika Sita tetereka oh Sita pungukiwa no no no no no no no Sita kuacha we (Ooohh oh, ooh-oh) Wewe ni Mungu (Wewe ni Mungu wetu) Muumba nchi na mbingu (Hubadiliki wewe utabaki yuleyule) Wewe ni Mungu (Wewe ni Mungu wa wote wenye mwili) Muumba nchi na mbingu hee! (Wewe ni Mungu wetu) Wewe ni Mungu (Tunakuita we ni Mungu) Muumba nchi na mbingu (Wewe ni Mungu wewe) Wewe ni Mungu (Hakuna kama wewe Baba yea) Muumba nchi na mbingu (Wewe)
Writer(s): Walter Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out