album cover
Tulia
album cover
Tulia wurde am 31. Dezember 2019 von Bwenieve als Teil des Albums Matendo veröffentlicht
AlbumMatendo
Veröffentlicht31. Dezember 2019
LabelBwenieve
BPM
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Intro]
Tulia tulia na ujue
Mungu wako
[Verse 1]
Upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na hofu
Asema Bwana yuko pamoja nawe
Atembea nawe, afuta machozi
Tulia, ujue yeye ni Mungu
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Verse 2]
Shida nyingi, mateso mengi, kilio kingi duniani
Jipe moyo utashinda
Aliyeanzisha, kazi nzuri ndani yako we
Ni mwaminifu kutimiza
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Akisema, atatenda
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
[Verse 3]
Wewe Jehovah rafa, Jehova Jireh, Jehova Shalom Ebeneza
Ahadi zake hazivunjiki kamwe
Elshadai, Elgibo, wewe Jehova Shamah Ebeneza
Ahadi zako hazivunjiki kamwe
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
[Chorus]
Tulia tulia na ujue
Mimi ni Mungu, Mungu wako
Written by: Evelyn Wanjiru

Loading...