Songtexte

Mlinzi nishapata ngao nalinda pakubwa Kanipandisha dau, nakula vikubwa Na lips mshangao, vidigidigi sitaki tena Yezaa man yeza yeza Nikikumiss nashindwa hata kusubiri Una vionjo mpaka nimevikariri Una manjegeke mama sio poa Call me daddy Nipe kwachuckwachu ma, nikulishe muhogo Fatuma,shuka chini kidogo Usinipe vya kupima nusu ama robo KUnuna ntakulenga kwa nyodo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (oh mama) Kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa Nataka piga deki kile kile kisima Aga Khan Aga khan pale mzizima Unavyorindima, niko winji ma Kucheza geji mwendo flani wa kupima Amina, unaniacha hoi ukilowesha kanga Zima koroboi nataka kupanda, mambo ya panga boi madoido tanga Wazimu unanipanda jamaa(panda) Stimu inayoyoma mama(panda), mikao flani ya bodaboda dada (panda) Hata kwa ngazi double deka jamaa (panda) Billnas Billnas Nipe kwachukwachu ma,nikulishe muhogo Fatuma,shuka chini kidogo Vya kupima nusu ama robo Ukija kununa ntakulenga kwa nyodo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa S2kizzy baby Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo Kwa kwa kwa kwa leo Kwa kwa kwa
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Oscar John Lelo, William Nicholaus Lyimo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out