Songtexte

Je umepata kusikia habari, za Yerusalemi ukishuka angani? Je ndugu utakuwepo juu angani, Yerusalemi ukishuka? Dunia yanikatisha tamaa, nirudi nyuma Lakini mimi sirudi nyuma, napaa angani, Yerusalemi Yerusalemi utashuka juu angani Mji wa raha tutatawala na Yesu Yerusalemi utashuka juu angani Mji wa raha tutatawala na Yesu Nitaendesha gari la kifalme nitakapofika juu mbingunia Nikizunguka kwenye mitaa ya mbinguni, miguuni pa Yesu Usiku mchana hahuishi, mji ni mzuri wa ajabu Nitaingia kwa shangwe kwenye mji ule, mji wake Yesu (Nitaendesha) gari la kifalme (Nitalivaa) joho la kifalme (Mimi nakwenda) sitarudi nyuma (Mimi nakwenda) nakwenda mbinguni Nitaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu NItaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu Nami nitakaa nyumbani mwa Baba milele Yerusalemi, tutaingia kwa shangwe, Tutasahau masumbuko ya dunia Yerusalemi, tutaingia kwa shangwe, Tutasahau masumbuko ya dunia Nitaendesha gari la kifalme nitakapofika juu mbingunia Nikizunguka kwenye mitaa ya mbinguni, miguuni pa Yesu Usiku mchana hahuishi, mji ni mzuri wa ajabu Nitaingia kwa shangwe kwenye mji ule, mji wake Yesu (Nitaendesha) gari la kifalme (Nitalivaa) joho la kifalme (Mimi nakwenda) sitarudi nyuma (Mimi nakwenda) nakwenda mbinguni Nitaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu NItaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu Nami nitakaa nyumbani mwa Baba milele (Nitaendesha) gari la kifalme (Nitalivaa) joho la kifalme (Mimi nakwenda) sitarudi nyuma (Mimi nakwenda) nakwenda mbinguni NItaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu NItaziba masikio yangu, nisisikie ya ulimwengu Nisikie sauti ya Yesu moyoni mwangu Nami nitakaa nyumbani mwa Baba milele
Writer(s): William Blake, Phil Keaggy, Charles Hubert Parry Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out