Songtexte

(Oh my God this beat) Aaanhuh! Trio Mio (Mavo on the beat) (Trouble) Nmekapitia Nimekula ngumu sana (huh) And mama told me One day I'm gon be a superstar Oooh woo woooo Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio, hamna copy? Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio mazee Nmerauka mapema kama kawa niko shug'li Naambiwa siku njema huonekana asubuhi Kusema watasema, majority wanijui Na si ati najali, sitambui Banja ile unabanja Mkwanja mtanikanja Mganga najiganga Banger after banger Nasonga kakisonga niko bumper to bumper Chuma miukangonga kakiwaka kuwaka Energy ni easy, vibe iko simple Enemies within me, bad bele people Jealousy kwa wingi, eyes of the evil Sir Jah ako na mimi, na hivyo ndivyo iko Form kamejipa na manguna madenge Chuom najinyuria na mabuda tubembee Kam tujinice na madoba kwa tenje Gwan tukivibe na mabandal wolenje Na manguna madenge Na mabuda tubembee Na madoba kwa tenje Na mabandal wolenje Nmekapitia Nimekula ngumu sana (huh) And mama told me One day I'm gon be a superstar Oooh woo woooo (One day I'm gon be a superstar) Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio, hamna copy? Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio mazee Unenge naielewa tumelala njaa Matime nasakanya dagaa skuma na ugangaa Natapakaa kwa sinia tunaimassacre Mi masa na watu wangu AP Agatha Tucheki sai pesa plastic Nimechange tactics Number one culprit Mr Fantastic Remember wakisema Trio gengetone artist huh Madoba nachanganya bila practice Charts nawapiga maminyongolo Wakongwe wapatiwe mamikongojo Huwezi kosa maJudas Mi nna imani ya Musa But akili na ufisi ni ya Solomon yeah Mafans wako na mimi na si mkorogo yeah Zenyu ni makiki na maporojo yeah Mi ndo mwenyekiti nna kikolombo Nimedunga hard collar na matiki za mayolo bro yeah Form kamejipa na manguna madenge Chuom najinyuria na mabuda tubembee Kam tujinice na madoba kwa tenje Gwan tukivibe na mabandal wolenje Na manguna madenge Na mabuda tubembee Na madoba kwa tenje Na mabandal wolenje Nmekapitia Nimekula ngumu sana (huh) And mama told me One day I'm gon be a superstar Oooh woo woooo Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio, hamna copy? Kichampagne, we poppin Mabombe, kwa cockpit Mabouncer na walkie-talkie Ni Trio mazee
Writer(s): Mario Tj Kasela Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out