Hör dir „Sio Siri“ von Watendawili an

Sio Siri

Watendawili

Afro-Pop

1.297 Shazams

Songtexte

Ooooh no no no Ona kule tumetoka na mbona sasa unasema umechoka Ama ushampata Casanova, anayekupatia lishe bora Juu kwanza nakumbuka tukianza vile uliniahidi tutapendana forever Na sasa ni kwa nini ukaniweka chini miaka zaidi ya mbili sasa umeamua unaenda Ni kipi mi sina? Ni kama tena haunijui jina no Na haukujikinga, naskia tena ushapewa mimba Na Sio Siri tena, Sio Siri Sioni ikiweza Sio Siri tena, Sio Siri Siwezani kuweza Sio Siri tena, Sio Siri Sioni ikiweza (Siri tena, Sio Siri) Mwanzo tulikuwa kwa gorofa, mapenzi yetu ikaporomoka Baadaye ukaja ukanichoma, oh sikujua jua pia ni nyota Na ukweli sasa inaonekana, niliyempenda pia ameshanikana Nilimpea kila kitu, nikampenda kila siku, chérie Akageuka mdanganyifu, maswali zangu hawezi jibu, yaye Ni kipi mi Sina? Ni kama tena haunijui jina no Na haukujikinga, naskia tena ushapewa mimba Na Sio Siri tena, Sio Siri Sioni ikiweza Sio Siri tena, Sio Siri Siwezani kuweza Sio Siri tena, Sio Siri Sioni ikiweza Sio Siri tena, Sio Siri Siwezani kuweza Pahali niko, sikutakii mabaya Oh haya, yameshafanyika mama, umeshanizika mama Ndani ya shimo, uliniwacha pabaya, oh haya yameshafanyika mama Mapenzi yetu ishazama Oh no no, Sio Siri Ma, umeniumiza Oh no no, Sio Siri Ma, umenimaliza Oh no no, Sio Siri Ma, umeniumiza Oh no no, oh no no
Writer(s): Eugine Ywaya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out