Songtexte

Nilopokuwa nipo chini mavumbini Nilopokuwa nipo chini mavumbini Walinikataa waliniona ni mavumbi tu Walinikataa nilikuwa sina dhamani kwao Walijua jana yangu Hawakujua leo yangu Waliniona ni masikini Waliniona sina dhamani kwao Waliniona sina lolote Ila walichokesea hao Walijua jana yangu wao Hawakujua leo yangu wanadamu Leo nang'ara kama dhahabu Acha ning'are mimi dhahabu Leo nang'ara kama dhahabu Acha ning'are kama dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Usiidharau leo ya mtu Usiidharau leo ya mtu Maana haujui kesho yake Maana haujui hatima yake Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu Aliye masikini leo Kesho huyo ye tajiri Unayemuona chini leo Kesho atainuliwa na mungu Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu Kesho ya mtu i mkonono mwa baba Daudi alikuwa mchunga kondoo porini Daudi alikuwa mchunga kondoo daudi Nani alijua daudi ni mfalme Nani alijua daudi ni mtu mukubwa Kumbe unaweza pitia leo Kwa utukufu wa kesho Kumbe unaweza pitia leo Hiyo ni heshima kwa mungu Watakapo kuja kuinua watashanga Usije idharau leo ya mtu Sasa nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu Amenitengeneza mungu leo nang'ara kama dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Mimi ni dhahabu, mimi ni dhahabu Nilipokuwa masikini nilivumilia Waliponikaa na kunibeza nilivumilia Leo nang'ara kama dhahabu Acha ning'are mungu amenitoa mbali Acha ning'are mungu amenikumbuka Na sifa kuu ya dhahabu Na sifa kuu ya dhahabu, Dhahabu, ni lazima ipite kwenye moto Likipita kwenye moto dhahabu itang'ara tu Na sifa kuu ya mungu wetu huyu Hutuinua kutoka chini, chini chini sana Na kutupandisha mpaka juu Na kutuketisha n'a wakuu Usijedharau leo ya mtu Hatima ya mtu i mkonono mwa mungu Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu Acha ning'are kama dhahabu, mimi dhahabu Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu Leo nang'ara kama dhahabu, kama dhahabu Acha ning'are mimi dhahabu, mimi dhahabu
Writer(s): Beatrice Essau Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out