Songtexte

Haitaki hasira Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Haitaki hasira Okay The ruler is back Wacha nipange laini The cognac is conc wacha imange maini Leo nakata maji zini onyeshe majini Tako homeless, itaenda na mimi I'll fall for you, Kama embaramba We ni mthick kaa dandaaa Ebu nishow ulipewa nini na mama Mama shaki hiyo bam bam Kiuno ni fillet vile anazitokkaaaa Sunani chochaaa Mikono tu mi sio mikono glue Naweka shida chini natupa Mikono juu tuna bugia ma beer na makali tuna cheers Nama sela tuna serebuka Bila wasi wasi Navile nina pesa waresh wameweza nachafua meza Bila wasi wasi Ufala mistaki nakama ni wangati iyo party huni party Bila wasi wasi Nous on a pas des problèmes mais quand on a de l'argent on s'enjaille Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Haitaki hasira Shingo silver sahunya chini na top maua Surba mbili ndimu nalamba naua shots Ni uwamnice usiponishow najua Natoka east hivyo ndio si ukuwa Huku ni wapi pombe ni zaidi ya rwabe Sanif vela safi safi G bag ni ya mathe Leo zitani runda hadi huko juu highway Kwa room sitoki kama marashi Basi katika kama ya challenge tiktok Lingala ma time lakini mi uwaga hip hop Unajifanya hivyo ndio utanifanya No taxi basi ntakulipia nganya Tuna bugia ma beer na makali tuna cheers Nama sela tuna serebuka Bila wasi wasi Navile nina pesa waresh wameweza nachafua meza Bila wasi wasi Ufala mistaki nakama ni wangati iyo party huni party Bila wasi wasi Nous on a pas des problèmes mais quand on a de l'argent on s'enjaille Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Bila wasi wasi Haitaki hasira
Writer(s): Kennedy Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out