Songtexte

You deserve somebody new You saw it coming and you had the proof Ulionanga za ndani but you never knew Nasemanga ati uko misunderstood Every night on a different mood I don't know what you like don't know what you do Nimekupea time, nimerorder food I give you the wood so good Mastyle za kizungu Najua kucheza na rungu Nimekukulia njugu But niko na machungu When I see you with that other guy Ulisema ye' ni ndugu Now I know it's a big lie Juu mabestie Wanasemanga wao ni mabestie Tena wanashikana chini ya blanketi Chini ya neti Now, mabestie, wanasemanga wao ni mabstie Tena wanashikana chini ya blanketi, chini ya neti Niko na machungu Niko na machungu na we Niko na machungu Niko na machungu na we Chini ya neti Kuna mechi Ya mabestie Sielewi Niko na machungu Niko na machungu na we Ulinishow ye ni cuzo Kumbe ana dishi No kakitu Yake Toyota na Wish Kama sina ningesaka We' useme lini Ningekuamini, ata useme nini Ati bratha budake ni sista ya nyanyangu Na cuzo yake, ni rela ya brathangu Yaani unacheat na makalulu Habari naamini ni ya Rashid na Lulu Kila siku, umetoka gym na umechoka Lakini haupunguzi weight Nikikuuliza nashuku Unafura I can't relate Mimi na njugu zangu inabidi nimenyonga Kilimani mums, washajua wanabonga Niko na Nana saa hii tunamatch manjumu Lakini nikikuona, nashikwa machungu Mabestie Wanasemanga wao ni mabestie Tena wanashikana chini ya blanketi Chini ya neti Now, mabestie, wanasemanga wao ni mabstie Tena wanashikana chini ya blanketi, chini ya neti Niko na machungu Niko na machungu na we Niko na machungu Niko na machungu na we Chini ya neti Kuna mechi Ya mabestie Sielewi Niko na machungu Niko na machungu na we
Writer(s): Kennedy Otieno Ombima Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out