Songtexte

Mmmmh Ni kubaya, yay Bazenga Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Yo, Bazenga, Jua ni kubaya, imba kaa choir Cobra ni King, bazu ni giant Tangu tene, Breeder mi ni short wire Leta zogo ndio utafinywa na pliers Rap game, nimesimama kwa dais Sembe na mala na kunde kwa diet Tabia za Baha na nguo za Diana Zitafanya nifuate dini kwa science Nikikafunga na copy Jalang'o na-pull up na Beamer kwanza ki drop top Mkwela alijifanya high class after mechi si alidishi ma popcorn Kwa shingo waya zimebeba ma karat, trao imefura kwa mbosho Na vile wana pupa kaa refa wa wreso undertaker nawapiga ma tomb stone Vile nawastua kama box x Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex Itabidi wamejua bado mi ndio chosen Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen Niko fully loaded, sijawahi kosa content Delivery noma, mistari nafikisha doorstep Tuko tu mamoshi kaa takeoff ya rocket Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem Na siezi ngoja ku invest mamita Zitaletwa na ngoma napiga Tough Klan naigeuza kanisa Juu ma cosign napata na sifa Kaa si TK, ni Blu Ink kwa speaker Piga mrazi na chupa kwa kichwa Me napata baraka, si kissmart Wengi wao walikam wakapita Si ni shocking kaa Blanka We bado una mbogi mi nazoza one man Mi ni headbad hadi staff room nanyamba Na naachia depa na princi lawama Niko bypass, 105 nakanyanga Juu kuna maganji nafuata Langata Hapo mneti wana hate ingi sana Na tukipatana wako nervous Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya ulaya Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Yo, check it, yo Rada ni chafu, washo tumefika, hawajajua ni kubaya Mi ni moto, na vile nawa-son, jua ni ku-fire Tuliona ukizoza na ndechu kwa IG, ukajua niku-hire Na vile huyu shawty anagawia umati, hujajua ni ma Breeder alinisho, OG nina banger, nikamwambia tuma, ma nigga, I got you Na juu sitaki ma-story za mbang'a, vida ipigwe mchana sababu ya curfew Juu lazima nipate briefing ya Mutahi, nijue cases ngapi so far hapa Nai Najua nikiukata utajifanya sorry, lakini ndani ndani watakuwa wanafurahi Itabidi niharakishe ndio nisepe Hii si para, mister, usiniletee Hata mkilalamika mi natambulika, siezi choma picha, ama vipi Na nyi kwangu vinyangarika, nawachapa vita, na mkikasirika niwateke Niwanyang'anye sling na Timber, na ju nyi ni wajinga, ni vibare mpaka mi nitosheke Na mi nawatafuna kama PK PK, PK, PK, jaba na njoti Na hii ngoma lazima iwashike Shike, shike Shike, mababi, mangoki Collabo noma, Omollo na TK TK, TK, TK, mafala hawatoshi Na kaa ni bars, basi muitishe Tishe Ndio tuwazungushe na ile pace ya Valentino Rossi Tukifika basi ni nuru, tuko kwa telly kwa mbulu Kutoka Nyeri to Buru, mpaka Nyeri to Mukuru Tukimalizana na Nai, tunafika Nakuru Na juu hii si kazi ya bure, buda, toa ushuru Ma-shawty wanalia, uuh,that's a badman Gonga taka tuku-scoop up na dustpan Red carpet, tuna-pull up na Mustang Look ya gikomba tumepulizia Verseman Competition imerushwa kwa trash can Nyi ma stude mmekuja for half term Hivyo ndio venye namalizia verse OG, motherfucker, nime-pull up na Tough Klan Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Ay, msupa atoti, ndai ni German, ni ya Ulaya Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Nasema woi, woi, woi, jua ni kubaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya Woi, kairetu msafi, mbota, durag, shingo mawaya Ay, jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Writer(s): Paul Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out