Songtexte

Mwenye kisura cha upole Rangi yake ya chocolee Uzuri kampa mama ooh mama Cheko lake kama vaileth Kisura chake yani babay face Ananichanganya anichanganyaa Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye Na ata ukizunguka uwezi mpataa kama yeye Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye Na ata ukizunguka uwezi mpata kama yeye Mi nina wivu ooh wivu My baby nina wivu ooh wivu Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu Ooh baby mi nina wivu ooh wivu Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu Ushaniweza jamani kama ni dozi unanipatia Unafanya wakeshe ooh wakeshe macho wazi Oh mambo yako wazi wazi wazi Tuweke wazi kwawazazi Milele tuishi wote mimi nawe my darling Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye Na ata ukizunguka uwezi mpataa kama yeye Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye Na ata ukizunguka uwezi mpata kama yeye Mi nina wivu ooh wivu My baby nina wivu ooh wivu Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu Ooh baby mi nina wivu ooh wivu Kusema kweli mi nina wivu ooh wivu
Writer(s): Platform Tz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out