Songtexte

Mkombozi Records Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale Afanyalo jipya dunia ni ile ile Hakuna ubaya mpya yoote ni yale yale Afanyalo jipya dunia ni ile ile Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingizi Upepo ukivuma kasi utakwenda kasikaziiii Ooohhhhhh Neno ukigeuza tusi hauninyimi usingiziii Ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi Sinichafueni basi tunajaziana nzii Ooohhhhhh Ridhiki yangu sikosi na maneno hayaudhi Sinichafueni basi tukajaziana nzii Mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa Ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa Mapenzi ni yaleyale waliyoanza mababu jipya alitotokeaa Ubaya ni vile vile hayo mengine sababu waja mwanitafutiaa Nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa Vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa Nao wema ni ule ule malipo yake thawabu mola alishatuambiaa Vyeema kuwa mpoole tusitiane ghadhabu siku kaniaribiaaa Usininyooshee kidolee hutonitia aibuuu ooh tuli nitakuangalia Sina iridhi sina chale mlinzi wangu wahaabu oohhh yeye namtegemea Sininyooshee kidolee hutonitia aibuuu tuli nitakuangalia Sina iridhi sina chale mlinzi wangu wahaabu yeye namtegemea Likotoka mashariki magharibi litatuaa Kusanya na mashabiki waje mje muuze jua Kusanya na mashabiki waje mje muuze jua Kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee Hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele Kama hilo uliwezii basi yoote yaleyalee Hata mimi huniwezi mola kaniweka mbele Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo Alo kula amekula kala nini haijuzu Iwe biriani kala au dagaa kauzu Tuombeane sitara tusitenguane udhu Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo Hakuna lililo jipya lipate kunishitua Ambalo mtajitapa moyo mkanilipuaa Hakuna ubaya mpya ulio chini ya juaa Ubaya toka zamani nilipokuwa mdogo Maneno yake kinywani komwe haliwi kisogo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out