album cover
Labda
album cover
Labda wurde am 2. Juni 2023 von Sony Music Entertainment East Africa als Teil des Albums Labda - Single veröffentlicht
Released2. Juni 2023
LabelSony Music Entertainment East Africa
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Verse 1]
Labda ni ujana tu, labda ni uchumba tu
Labda nkimuoa nikimweka ndani atatulia tu
Labda ni wivu wangu, kwa mchumba wangu
Labda anachiti ndo maana nabaki roho juu
[Verse 2]
Labda ibada nazofanya zinamtuliza
Labda msaada wa kumkanya asije niumiza
Labda ooh ili alie nahisi ntamtuliza
Ila simwachi mupenzi wangu
[PreChorus]
Labda maruhani, yanipande kichwani
Labda na wewe uchenji nkishakwenda ndani
Labda mashetani, yapite kichwani mwako
Labda unichiti kipindi niko mikononi mwako
[Chorus]
Labda, labda, labda
Isitokee kweli
Labda, labda, labda
Isitokee kweli
[Bridge]
Yeyeyeyeyeye yee yeyeyeyeye
Yeyeyeyeyeye yee
[Verse 3]
Nikivunjika univunje wewe labda, na nikifa utakaa eda labda
Penzi kwenye raha na shida unizoee
Uwe sayari, pembe za bahari
Pembe za milima na majabali
Ukienda mbali
Wallahi nitakufa aah, utajuta aah baadae
[PreChorus]
Nibebe nkubebe nchechemee (Eeh)
Na nkikosa nisemee (Aeh)
Nasaka kiwanja nkujengee (Aeh), wapambe wasiongee
Labda maruhani, yanipande kichwani
Labda na wewe uchenji nkishakwenda ndani
Labda mashetani, yapite kichwani mwako
Labda unichiti kipindi niko mikononi mwako
[Chorus]
Labda, labda, labda
Isitokee kweli
Labda, labda, labda
Isitokee kweli
Written by: Aslam Tz, Aslay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...