Songtexte

(La la la la la la) (Viva la Vida la Vida la Vida ma) Sudah (La la la la la la la) (Ma ma ma ma ma ma) No disturbance Leo ni lazima nile nyama Kisha nimalizie na shada Nimeshajinyimanga sana Mi usave sana For Suzanna You know forever I got my mama Sitaki madeni ama drama Natuma za mamaa na pesa za chama (No no no no) Akianani maisha ya city Tunaishingi 50-50 Utakaribishwa na mwizi Ama wajanja na mafisi Wasichana wapretty pretty Wananiita mwenye kiti Wanaonanga niko fiti Hauezi nieka chini Viva la Vida la Vida la Vida Ahumdulilah nimeivaa Nimepiga looku nimeshiba Dua langu leo limefika Amina Amina Ahumdulilah nimeivaa Nimekula fiti nimeshiba Dua langu leo limefika Ahhhhh Amina Amina Ahhhhh Amina Amina Kamshande kako set Nimeshalipana rent Leo nimeshinda bet Sasa wapi weekendi Ka msupa kako wet Kanataka nikapet Nikavalishe pete Kisha apewe machete Vaa nikua ngwete Nikua ngwete Unawasha moto sasa wacha nipepete Nibebeshe niichezeshe Maisha raha washa kitu ituchekeshe Akianani maisha ya city Tunaishingi 50-50 Utakaribishwa na mwizi Ama wajanja na mafisi Wakubwa wa maofisi Wananiita mwenye kiti Wanaonanga niko fiti Huwezi nieka chini Viva la Vida la Vida la Vida Ahumdulilah nimeivaa Nimekula fiti nimeshiba Dua langu leo limefika Amina Amina Ahumdulilah nimeivaa Nimepiga looku nimeshiba Dua langu leo limefika Ahhhhh Amina Amina Ahhhhh Amina Amina Ahhhhh Amina Amina Ahhhhh Amina Amina (Amina)
Writer(s): Benson Mutua Muia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out