album cover
Imba
890
Christian & Gospel
Imba wurde am 9. Dezember 2015 von Bony Mwaitege als Teil des Albums veröffentlichtTunapendwa Na Mungu
album cover
Veröffentlichungsdatum9. Dezember 2015
LabelBony Mwaitege
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie
BPM109

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bony Mwaitege
Bony Mwaitege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniphace Patson Mwaitege
Boniphace Patson Mwaitege
Songwriter

Songtexte

[Verse 1]
Mungu anaketi katikati ya sifa
Tukiimba Mungu anashuka
Mungu anaketi katikati ya sifa
Tukiimba Mungu anashuka eeh
[PreChorus]
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuletea majibu ya tatizo lako wee
[Chorus]
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuponya, imba
[Chorus]
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuponya, imba
[Verse 2]
Oh ipo siri katika kuimba wengi hawajui
Tukiimba Mungu anashuka
Kuna siri kwenye nyimbo wengi hawajui
Tukiimba wagonjwa wanapona aah
Ooh ukitaka kuomba imba kwanza
Tukiimba Mungu anafurahi mbinguni
[PreChorus]
Imba imba imba
Hata kama uko majaribuni
Imba imba imba
Hata katikati ya mapito, imba
[Chorus]
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuponya, imba
[Verse 3]
Ukuta wa Jericho uliangushwa na nyimbo
Waliimba Mungu alishuka aah
Paulo na Sila walishinda kwa nyimbo
Waliimba milango ya gereza ikafunguka
[PreChorus]
Imba imba imba
Ukiimba matatizo yaondoke nyumbani mwako
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa, imba weeh
Futa machozi wewe imba
[Chorus]
Imba imba imba (Acha kulia)
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba (Anza kuimba wewe)
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuponya, imba
[Verse 4]
Usiwaze tafuta kitabu cha tenzi
Anza kuimba wee
[Chorus]
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuokoa
Imba imba imba
Ukiimba Mungu anashuka kukuponya, imba
[Bridge]
Imba nyimbo za tenzi
Mungu atashuka kuleta majibu ya tatizo lako wee
[Verse 5]
Eh Mungu wa Mbinguni umetusikia
Tumeimba tunaomba shuka
[Refrain]
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka utuokoe
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka utuponye, shuka
[Refrain]
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka utuokoe
Shuka shuka shuka
Tumeimba Mungu wetu shuka utuponye, shuka
Written by: Boniphace Patson Mwaitege
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...