album cover
Mapenzi
album cover
Mapenzi wurde am 22. Mai 2023 von NightMare Soundz ( Nms ) als Teil des Albums Mapenzi - Single veröffentlicht
22. Mai 2023
LabelNightMare Soundz ( Nms )
SpracheEnglish
BPM92
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Hayaa ndio mapenzi siwezi kulala mpaka mtoto wa mama mkwe aseme usiku mwema.
Nishaweka makazi siwezi kumkataaa maana mimi sio yuda nimkane mara saba.
Nakama sayari,yamapenzi nimezama.aah kutoka siwezi nabaki tuu natapatapaa.
Ukweri nihodariii,akinigusa kwa hapaa.ananikumbusha mbalii mwilii wote wasisimka
Hayaa ndioo mapenzii siwezii kulala mpaka mtoto wa mama mkwe aseme usiku mwema .
Nishaweka makazii siwezi kumkataa maana mimi sio yuda nimkane mala sabaa.
Ooooh my dear atanikilala huwa unaniijia alafu tukigombana wakwanza kulia vile umenikamata.
Oooh my deah kama kwakiota ndege umetulia.mpole mtoto wa watu mzuri wa tabia vilee umenimadaa.
Ata mjee na bunduki,iwemishale amamikuki,hapakwangu atoki maana kanimaliza.
Atamuende na bunduki iwemishale amamikuki hapa kwangu atokii maana kanimalizaa.
Aah aaah aaaah
Haya ndio mapenzii siwezi kulala mpaka mtoto wa mama mkwe aseme usiku mwema.nishaweka makazii siwez kumkata maana mimi sio yudaa nimkane maraa saba
Written by: Khalfan Hamis
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...