Songtexte

Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eh) Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eh) Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbicho yoh Si ni kinyeve kiko kwa kichwa kimejificha yoh Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbicho si ni Kinyeve kiko kwa kichwa kimejificha juu ni kimbicho (eh) Washa ki (puff puff), ndo kenye chain Nikivuta kiingie (puff puff), hadi kwa brain Ikija mi uki (puff puff), sayaree Niki ki(puff puff), hadi kwa vein Washa ki (puff puff), ndo kenye chain Nikivuta kiingie (puff puff), hadi kwa brain Ikija mi uki (puff puff), sayaree Niki ki(puff puff), hadi kwa vein Hunifanya mara mingi nikohoe (puff puff) Kwa kifua (puff puff), nikivuta (puff puff) Na mamorio wangu wote si wanapenda kuzi (puff) Kutoka ngware hadi usiku ziushindanga tu ki (puff) Tukilandi (puff puff) nishawasha kingine (puff) Kwanza pedi za Koinange zinafaa tu ziende (puff) Zikikam (puff puff), tuzivute (puff puff) Zote zote ka (puff), zote zote ka (puff) Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eh) Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eh) Niki kohoa kohoa io dalili ya kunyongwa Pitisha morio utaitisha ni kubwa sana Ivisha macho zikwe red, macho nyanya na Siseme ukweli ukiulizwa unasema hapana ati Niki(puff) umevuta unasema hapana Maybe pengine 'kwe ni morio mnajuana Si, kuna watu wakajuwa mneza kosana Imekubalika we ki (puff), bado mchana Ati kikush kipass, kwanza kitam kia ras Ka umezoea chum utaskia ni ka uko France Unajua uko smarti, na umedunga ma Clarks Unaweza vaa Vans, toka mbio ruka pants ati Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eh) Zimenishika zimenishika zimenishika yooh Mahali nimefika zimenishika zimenishika yoh Zimenishika zimenishika zimenishika yoh Niki (puff puff) kimenishika yoh (eyoh) Yow, yow Ni Zero Kama sauce me ndio sauce me ndio boss me ndio world boss, eh Cheki, big up medalinks productions Dagoreti 4W namba mbili tuko ndani
Writer(s): Celine Odindo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out