Songtexte

Kuna wakati wa giza Mbele sioni najiuliza Mbona kama hizi shida Zimekawia kuisha Katikati ya maswali Nasikia sauti ndani Imebeba ujasiri Ikinitaka nikiri nikisema Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wa juu Mimi ni wa juu, juu sana Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu Haijalishi ni giza, yeye ni nuru yangu Nitashinda hii vita na yote yatakwisha Ntasimama tena, ntainuka tena Mimi ni wa juu tu, mimi ni wa juu tu Ntasimama tena, ntainuka tena Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Nawaza yaliyo (juu) Nawaza yaliyo (juu) Nawaza yaliyo (juu) Juu sana Nawaza yaliyo (juu) Nawaza yaliyo (juu) Nawaza yaliyo (juu) Juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu Mimi ni wa juu, juu sana Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out