Songtexte

Ni ngumu kukubali iiih hali Kuwa Itapita Mwenzangu aujali unaona shwari Kwako kila kitu uwakika Na ila ningependa ujue Mwenzako mazoea yanitesa sana Furaha ya moyo wangu ni wewe Hukunipenda kweli Ulinidanganya Ulitaka nikupende vipi Nikupende vipi Kwa marafiki ukanicheat Kwa visa matashtiti ulikosa lipi wewe Kumbe mapenzi usalitiii Hata ukimpenda vipii Kweli kisicho ridhiki Hakiliki Aaaaaaabadan Aaaabadan Aya We sindo umeamua Aya Iwe ivii Aya Basi polepole utajantoa roho mwenzako Aya Aya Barida poa Aya Aya Aya aya Ni wewe tu unanifanya nalewa Ni wewe tu mi bado nakuelewa Umesema nisikupigia massage Nisikutumie Najikaza nashindwa Ah Ila msalimie uyo mwenzangu na mie Alouteka Moyo wako Nilikosa kipii hunie Mbona wanikosesha amani Kukupenda wee Ni mtihani Nimepata Zeroo Ah Chakula akiliki hunie Mie unaniacha na nani Ama nitoweke duniani ndo utaenjoy Ahh moyo unauma roho inauma Kweli inauma aaah Na sina moyo wa chuma naumia Naumia aah ah ah Ulitaka nikupende vipi Nikupende vipi Kwa marafiki ukanicheat Kwa visa matashtiti ulikosa lipi wewe Kumbe mapenzi usalitiii Hata ukimpenda vipii Kweli kisicho ridhiki Hakiliki Aaaaaaabadan Aaaabadan Aya We sindo umeamua Aya Iwe ivii Aya Ayaaaaaaah Aya Haayaaaa aya aya Aya Aya Aya Aya aya Na ila ningependa ujue Mwenzako mazoea yanitesa sana Furaha ya moyo wangu ni wewe Hukunipenda kweli Ulinidanganya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out