Songtexte

Vee money on the track yeah Kipendacho roho hula nyama Mbichi baby Nobody knows that you're down for me baby Baby niruhusu nideke nisichekwe Iwe kwa ngumi mateke ruwe sote Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio Bado(the way that I do) Bado(the thing that you do) Bado(the way I love you) Ooh Babyy you know... Bado Nakufanya nikusahau(badoo) Mpaka mi nikushushe dau(bado) Na sipendagi madharau(badoo) Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi Vannyboy... Alambaaa, alamba Tamu tamu katoa maganda Mwakibanda misamba mwakalete kavunja kitanda Eeh kanitekenya, kanitekenya eeeh yeah Kanitekenya Eeh minapekenya pekenya pekenya, eeh yeah Pekenya Kuchukurukutu aah yeah Kugandu kirubutu aah yeah Njoo nikupe burungutu aah yeah Mimi kwako zumbukuku aah yeah Eeeh... Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio Kila Mara akili yangu wewe tu umenifanya nimezama mwenzio Baby ooh you know Bado(The way that I do) Bado(the thing that you do) Bado(the way I love you) Ooh babyy you know Nakufanya nikusahau(badoo) Mpaka mi nikushushe dau(bado) Na sipendagi madharau(badoo) Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi Nusu kaputi umenipiga nusu kaputi Babyy you know. Bado(The way that I do) Bado(the thing that you do) Bado(the way I love you) Nakufanya nikusahau(badoo) Mpaka mi nikushushe dau(bado) Na sipendagi madharau(badoo)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Raymond Shaban Mwakyusa, Vanessa Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out