album cover
Leo
album cover
Leo wurde am 13. Juli 2023 von NBS STUDIO SINEMA als Teil des Albums Chura Ubanda veröffentlicht
13. Juli 2023
LabelNBS STUDIO SINEMA
BPM153
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

Leo ooo
Leo iyooo
Leo ooo
Leo ooo
Leo iyooo
Leo ooo
       Leo matusi kawaida
       Leo jeuri kawaidaa
       Leo dharau kawaidaa
       Leo vyovyote
kawaidaa.
 Leo matusi kawaida
       Leo jeuri kawaidaa
       Leo dharau kawaidaa
       Leo vyovyote
kawaidaa.
             
Leo mama na mwana wote wanadangaaa
Leo baba na mwana wote ganjaaaaa
Yani maisha yaleo ni majangaaa
Eti padri na shekhe wote wangaaaa
Leo mama na mwana wote wanadangaaa
Leo baba na mwana wote ganjaaaaa
Yani maisha yaleo ni majangaaa
Eti padri na shekhe wote wangaaaa
Leo umri namba ukweli nikwambie
Ainaga kutamba vimba nikuvimbie
Ooh jamani majanga aina mfagilieee
Unaweza kutamba kumbe babaako mieee.)
Leo umri namba ukweli nikwambie
Ainaga kutamba vimba nikuvimbie
Ooh jamani majanga aina mfagilieee
Unaweza kutamba kumbe babaako mieee.
 Leo matusi kawaidaaa
 Leo jeuri kawaidaaa.
 Leo dharau kawaidaaa
 Leo matusi kawaidaaa
Leo matusi kawaidaaa
 Leo jeuri kawaidaaa.
 Leo dharau kawaidaaa
 Leo matusi kawaidaaa
Leo ndugu kwa ndugu wanagombanaaa
Marafika wanakosana
Yaani maisha ya leo hayana hurumaa mama mamaa.
Leo ndugu kwa ndugu wanagombanaaa
Marafika wanakosana
Yaani maisha ya leo hayana hurumaa mama mamaa.
Ayana hurumaa aaaaa
Aaaa aaaa aa aa
Pacheko ebu gonga biti niamshe wakileo
Ainaga usharo boss hussen sio bishoo
badi gonga biti niamshe wakileo aina usharo boss hussen sio bishoo.
basi twende bigili bigili bigili chali bigili
twende bigili bigili bigili chali chali bigili
twende kule bigili bigili bigili chali bigili
Pale bigili bigili bigili chali bigili
Written by: Ibrahim Ally Matope
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...