album cover
Shida
album cover
Shida wurde am 18. August 2023 von SEVEN HEAVEN MUSIC als Teil des Albums Shida - Single veröffentlicht
Released18. August 2023
LabelSEVEN HEAVEN MUSIC
BPM96
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Chorus]
Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh (Ooh shida)

Utadharauliwa na marafiki zako kusudi shida (Ooh shida)
Unaeza tengwa na familia yako kusudi shida (Ooh shida)
[Chorus]
Unawezageuziwa hata na bibi yako kusudi shida (Ooh shida)
Utalaumiwa na watoto wako kusudi shida (Ooh shida)
Waezabadilika Yukawa maize kusudi shida (Ooh shida)
Kuna watu wengi wamejimada kusudi shida (Ooh shida)
[Verse 1]
Nina ndugu ni mukristo anafanya kazi kanisani
Lakini shida zake znafanya jirani zake washindwe kumuamini Mungu wake
Bibi amemuacha watoto wamemuchosha
Jamani shida zake zimefanya watu wote mpaka familia yake iondoke
[PreChorus]
Maisha ya shida (Mazito, mazito, mazito)
Mzigo wa shida (Ni mzito, ni mzito, ni mzito)
Maisha ya shida (Mazito, mazito, mazito)
Mzigo wa shida (Ni mzito, ni mzito, ni mzito)
[Chorus]
Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh (Ooh shida)
Jamani shida kitu kibaya sana shida ooh (Ooh shida)
Utadharauliwa na marafiki zako kusudi shida (Ooh shida)
Unaeza tengwa na familia yako kusudi shida (Ooh shida)
[Chorus]
Unawezageuziwa hata na bibi yako kusudi shida (Ooh shida)
Utalaumiwa na watoto wako kusudi shida (Ooh shida)
Waezabadilika Yukawa maize kusudi shida (Ooh shida)
Kuna watu wengi wamejimada kusudi shida (Ooh shida)
[Verse 2]
Unapambana nanana, chanapa nanana na shida znaleta aibu ndogo, ndogo bana
Kila mutu anakushuku wanakushuku, imegandamiza uhusiano wako na mandugu

Written by: Peter Audiphaxad Omwaka
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...