Songtexte

Different different Different different Different different Wuod Bange hii si ya kawaida man Ni different different different chi Pesa kawaida huwa kwa benki Ama biashara uza nikupatie Lakini Yesu ana style different Ati enda vua samaki mdomoni utapata doo how Different different different chi Nauliza how Different different different chi Niambie how Different different different chi Niambie how Different different different chi Iyo Nimekuja na kimbogi Watu elfu tano ndio skwodi Mkate tano fish ni mbili watakula nini Mpe Yesu ana style different Analeta na kastyle different Anaponya na kastyle different Anakuja na kastyle different Different different different chi Binadamu why you want to limit God? Oh you can never limit God We unaona one way Kumbe yeye akona like ten ways Wacha Mungu Aitwe Mungu Njia zake si kama zetu Anakuja na style Yake Kwa wakati wake Iyo Nimekuja na kimbogi Watu elfu tano ndio skwodi Mkate tano fish ni mbili watakula nini Na kastyle different We unakuja na kastyle different Unaprovide na kastyle different Wewe ni Mungu na kastyle different Different different different chi Wacha Mungu Aitwe Mungu Njia zake si kama zetu Anakuja na style Yake Kwa wakati wake Different different Different different Different different different chi Iyo Different different Different different Different different different chi
Writer(s): Emmanuel Makau Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out