Musikvideo

Jaivah x Marioo - Buruda (Official Visualizer)
Schau dir das Musikvideo zu {trackName} von {artistName} an

Vorgestellt in

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jaivah
Jaivah
Lead Vocals
Marioo
Marioo
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jaivah
Jaivah
Songwriter
Sebastian Charles Mwinula
Sebastian Charles Mwinula
Songwriter
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cloudy Sa
Cloudy Sa
Producer
J-Lens Musiq
J-Lens Musiq
Producer

Songtexte

Mm, Bad Aweh Igama lami ngu-Jaivah wena Aweh, aweh Aweh Jaivah Hule mtoto kaniona 'kati nimependeza Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza Ananiangalia huku macho analegeza Nami nampimia, akijitusu natembeza Hule mtoto kaniona 'kati nimependeza Kaona dorime hiyo mitungi juu ya meza Ananiangalia huku macho analegeza Nami nampimia, akijitusu natembeza Nikamwambia hapa mitungi buruda Washa hata kitu buruda Na kama sio kesi, na kama upo freshi Hapa hata mikasi buruda Nikamwambia hapa mitungi buruda Washa hata kitu buruda Na kama sio kesi, na kama upo freshi Hapa hata mikasi buruda Akaniuliza, nani jina lako? Igama lami ngu-Jaivah Igama lami ngu-Coach Igama lami ngu-Striker Akaniuliza, ubani igama lakho? Igama lami ngu-Jaivah Igama lami ngu-Coach Igama lami ngu-Striker Si mtoto alivyoona venye nimepoa (alivyoona venye nimepoa) Ye' akanichukulia poa (ye' akanichulia poa) Na mwanenu n'navyojua kukomoa (na mwanenu n'navyojua kukomoa) N'nakuwaga kama natafuta ndoa (n'nakuwaga kama natafuta ndoa) Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) hallo Limenibana kojo, kojo, kojo (Kojo, kojo, kojo) Kojo, kojo, kojo (Kojo, kojo, kojo) Nimelewa, sioni mbele, sioni nyuma Sioni juu, sioni chini, tundu liko wapi? (La choo) Ah, sioni mundu, sioni kijema Kwani njia iko wapi? (Ya chooni) Ah, kama nawakwaza semeni (hautukwazi, tajiri) Kama nawaboa semeni (hautuboi, tajiri) Kama nina gubu semeni (hauna gubu, tajiri) Kama ninabaya semeni (hauna baya, tajiri) Sheh, leo DJ nani? Chapa ngoma ya Zuchu (Honey) Anapiga nani? Hebu ngoja nipokee Hallo (hey baby, please! Come back home please! I need you now) Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home, au ninyi munasemaje? Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee, niache? (Kwanini uache? Kama umelianzisha twende mpaka asubuhi) Limenibana kojo, kojo, kojo (Kojo, kojo, kojo)
Writer(s): Omary Ally Mwanga, Sebastian Charles Mwinula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out