Hör dir „Number One (feat. Mbosso)“ von Billnass an

Number One (feat. Mbosso)

Billnass

53.112 Shazams

Songtexte

S2kizzy baby Nitaomba mabawa nipae Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita Neema na baraka zitufae Baraka zitufae Kutoka kwa Malaika Honey, mi nadhalilika Yaani ulivyonishika Aah, honey, mi nadhalilika Yaani ulivyonishika Mamaa, mama, mama ake Ntakupenda kesho nakupenda today Bado nahangaika natafuta niombee Mwenzako mi na wivu Na sitaki tushare Mamaa, mamaa, mama ake Ntakupenda kesho nakupenda today Bado nahangaika natafuta niombee Mwenzako mi na wivu Na sitaki tushare Kwenye mamilioni kwangu we namba one (one-oh) Watayasema yote na bado hatuachani (chani-oh) Hata wakiniona zoba as long as uko nami Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani Hata wakiniona zoba (zoba) as long as uko nami Wakisema unaniroga (roga) waambie unanirogea chumbani Ooh, na-na-na Nitaomba mabawa nipae Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita Neema na baraka zitufae Baraka zitufae Kutoka kwa Malaika Honey, mi nadhalilika Yaani ulivyonishika Ooh, honey, mi nadhalilika Yaani ulivyonishika Ah, kwa hizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno Nampenda mama nampenda baba na wewe ukiwemo Penzi wakishika nakata Nakata kama msumeno Sali tuzeeke wote mpaka tung'ooke meno Na akili zaniruka likitajwa lako jina Sio siri nawehuka Ubaridi mwili mzima Kwenye mamilioni kwangu we namba one (one-oh) Watayasema yote na bado hatuachani (chani-oh) Hata wakiniona zoba as long as uko nami Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani Hata wakiniona zoba (zoba) as long as uko nami Wakisema unaniroga (roga) waambie unanirogea chumbani Ooh, na-na-na Nitaomba mabawa nipae Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita Neema na baraka zitufae Baraka zitufae Kutoka kwa Malaika Honey, mi nadhalilika Yaani ulivyonishika (dhalilika) Oh, honey, mi nadhalilika (mi nadhililika) Yaani ulivyonishika Ooh Kamix Lizer
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out