album cover

Lini

5.789Afro-Beat2024
album cover
Lini wurde am 12. April 2024 von The Magical Touch als Teil des Albums Lini - Single veröffentlicht
Veröffentlicht12. April 2024
LabelThe Magical Touch
BPM89
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

Baby Aaah
Niko serious
Kwako si fake wala si act
Niko serious
Baby aah
Au mapenzi basi
Niinusuru nafsi yeah
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujaali Eeee Eeee
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Sawa nikuvumilie eeh
Ndoa za watu nihudhurie eeh
Bado wajipanga ni kazi bure
Unapiga magoti
Hunivishi pete
Wala hu propose yeah
Ama ka moyo kangu kupe
Kana ng'ang'ana
kupenda nisikopendwa
sa nawaza baadae ubadirikee
Usi fadhirike woh uuh
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
I remember you told me
Am your one and only
Toka nyakati zile
Pete haijawahi ona kidole
Nakulea kama mzazi
Kwako kijakazi
Wewe hujali Eeeh Eeeh
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah yeah
Lini utanioaah yeah
Lini utanioaah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Aah yeah Aah yeah
Written by: Ibrahim Jafari Mzonge

Shazam-Fußzeile

Sprache auswählen:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Folge uns auf:

Loading...