album cover
Ipo Siku
album cover
Ipo Siku wurde am 5. April 2024 von Msanii Records als Teil des Albums Ipo Siku - Single veröffentlicht
5. April 2024
LabelMsanii Records
BPM99
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Musikvideo

Musikvideo

Songtexte

Kwa machozi mengi Moyo hauna Raha
Lakini tumaini bado lipo
Usiku mrefu mapambazuko huja
Nazidi kungoja kwa subira
Ahadi ya Mungu kwao wamchao
Ipo siku ya furaha.
***
Ipo siku ipo siku
Mambo yatabadilika
Ipo siku ipo siku
Nami nitafurahia
Kwa shida zangu, uniponye
Kwa kazi yangu, uniponye
Mimi mgonjwa, uniponye
Sina mchumba, nibariki
Sina watoto, nibariki
Sinayo karo, nibariki
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Ninaomba kila siku
Lakini mbona majibu
Hayakuji kwangu nieleze.
Swali lako zuri
Nimekuelewa
Ila nakuomba jiulize.
Je unaweza tembea
Je unaweza ongea
Je unayo afya nzuri
Je unayo kazi yako
Je unao watoto
Je sasa wanielewa
Na ukipata jawabu subiri.
***
Ipo siku ipo siku
Mambo yatabadilika
Ipo siku ipo siku
Nami nitafurahia
Kwa shida zangu, uniponye
Kwa kazi yangu, uniponye
Mimi mgonjwa, uniponye
Sina mchumba, nibariki
Sina watoto, nibariki
Sinayo karo, nibariki
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Nipe subira
Chorus repeat
Written by: Cohen Onsoti, Joash Nyamongo Ongechi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...