album cover
Bado
5
World
Bado wurde am 12. April 2024 von YDNW Dive als Teil des Albums Bado - Single veröffentlicht
album cover
Veröffentlichungsdatum12. April 2024
LabelYDNW Dive
SpracheEnglish
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie
BPM93

Credits

PERFORMING ARTISTS
YDNW DIve
YDNW DIve
Performer
Sadiki Asumani
Sadiki Asumani
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sadiki Asumani
Sadiki Asumani
Songwriter

Songtexte

Bado na hangaika na moyo siba budi, mabadiliko ni yale yale.
Uwaminifu wangu ndo unanivunja nguvu, maisha yamenishinda.
Uku nashinda kutwa, nikipiganisha hatua.
Lengo langu niwe kama wengine.
Tena cha kusikitisha, kila nikipiga hatua,
Walionazo, wala awa push kwangu mie
Rafiki zangu ndo wananivunja nguvu, wanatamani na yale nilionayo
Cha ajabu sijazaliwa nayo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo ni moyo
Uku najiuliza nitapata majibu, maana ninayopanga yote wanaaribu
Uku najiuliza nitapata majibu, maana ninayopanga yote wanaaribu
Maneno nayo, ndo sitamani bwana.
Japo moyo wangu, kwao umeshindikana.
Riziki yangu tayari wameshaibana..
Kinachobaki tu nikunitowa roho
Ila nikikumbuka nyuma, maneno ya mama akisema;
Eti, yule mwenye huruma ndo anaga bahati bwana
Rafiki zangu ndo wananivunja nguvu, wanatamani na yale nilionayo
Cha ajabu sijazaliwa nayo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo ni moyo
Rafiki zangu ndo wananivunja nguvu, wanatamani na yale nilionayo
Cha ajabu sijazaliwa nayo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo riziki ni moyo
Ni moyo, japo kidogo ni moyo
Uku najiuliza nitapata majibu, maana
ninayopanga yote wanaaribu.
Uku najiuliza nitapata majibu, maana ninayopanga yote wanaaribu.
Written by: Sadiki Asumani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...