album cover
Mchuchu
album cover
Mchuchu wurde am 7. Juni 2024 von Harmonize Entertainment Limited als Teil des Albums Mchuchu - Single veröffentlicht
7. Juni 2024
LabelHarmonize Entertainment Limited
BPM111
Melodizität
Akustizität
Valence
Tanzbarkeit
Energie

Songtexte

[Intro]
Aah Chinga aah
Ooh mama ooh oooh
[Verse 1]
24 hours seven days per week
Simu hushiki kwani vipi
Unaniona wa foo message unazibluetick
Simu hushiki kwani nimekosa lipi
Huchati na mimi huongei na mimi
Unachati na nani, na nani niambiee
Na ni ngumu kuamini hucheki na mimi
Unacheka na nani, na nani niambie
[PreChorus]
Mwenzako naumwa
Ugonjwa wa mapenzi sio tenzi yataniuwa mapenzi eeeh
Mie kwako oooh mtumwa yataniuwa mapenzi eeh
Mapenzi eee
[Chorus]
Mchuchu chuchu we utaniuwa na stress
Mchuchu chuchu we utaniuwa mi upesi
Mchuchu chuchu naimba chorus, hadi verse
Mchuchu chuchu mchuchu mchumba wangu we
[Verse 2]
Na siishi kukota usingizi wangu wa mashaka
Ama umenizidi nyota
Jua likichomoza moyo unanidai nataka sina pakujipoza hayaaa
Kwani nilikosea nini mi cha kushindwa we kunielewa
Mbona mi nilikudhamini hadi ukasema unangekewa
Sikukutelekeza mjini kwasababu nakuelewa
Samehe saba mara sabini kwa Mungu fungu utawekewa
[PreChorus]
Mwenzako naumwa
Ugonjwa wa mapenzi sio tenzi yataniuwa mapenzi eeeh
Mie kwako oooh mtumwa yataniuwa mapenzi eeh
Mapenzi eee
[Chorus]
Mchuchu chuchu we utaniuwa na stress
Mchuchu chuchu we utaniuwa mi upesi
Mchuchu chuchu naimba chorus, hadi verse
Mchuchu chuchu mchuchu mchumba wangu we
[Outro]
Chuchu chu chuchu ah Chinga
Konde music worlwide
Oooh we utaniua na stress we utaniua mi upesi
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...